Biblia ya Kusikiliza ya bure katika Kiswahili

Faith Comes By Hearing.com

Biblia za kusikiliza kwa Kiswahili za bure – Biblia katika Kiswahili

Agano Jipya kwa njia ya maigizo ya kusikia katika Kiswahili ni toleo pekee la Biblia ya kusikia iliyo na takriban wahusika 180 tofauti na sound track iliyorikodiwa kwa teknolojia ya dijitali na sound effects kamili. Unaweza kupata orodha ya lugha zinginezo zinazopatikana kwenye tovuti yetu hapa http://www.FaithComesByHearing.com/.

Faith Comes By Hearing (Tumaini huja kwa kusikiliza) ilianzishwa katika mwaka wa 1972, na lengo lake ni kuleta kanisa Lake pamoja na kufanya wafuataji kutoka kila taifa, kila kabila, kila lugha, na kila umma: kumpa kila mtu uwezo wa kusikiliza Agano Jipya kikamilifu katika lugha yake ya kwao. Tunajishughulisha na kuweka kila tafsiri la Biblia katika mfumo wa kusikiliza katika kila kanisa au kijiji duniani kote ili kuwezesha watu wasioweza kusoma kukuza tabia ya kusikiliza Neno la Mungu. Watu wote, hususa asilimia 50 ambao hawawezi kusoma, wataweza kusikiliza Neno la Mungu katika lugha yao.

Swahili (Kiswahili) Bible - Free MP3 Download

The Swahili (Kiswahili) Audio Drama New Testament is a unique presentation of the Audio Bible with approximately 180 different characters and a digitally recorded sound track with full sound effects. This language is spoken by more than 775,000 people in more than 12 countries. For a list of other available languages go to our website at http://www.faithcomesbyhearing.com/.

Founded in 1972, the mission of Faith Comes By Hearing is to bring His Church together and make disciples from every nation, tribe, language, and people: to give every person the opportunity to listen completely through the New Testament in their heart language. We are committed to putting every translation of the Bible in audio form in every church or village around the world to help oral cultures, like the Swahili-speaking peoples, develop a habit of hearing God's Word. All people, especially the 50% who cannot read, will be able to hear God's Word in their language.

Habari kutoka Faith Comes By Hearing